Site icon The Black Board Kenya

K.C.P.E. NA K.C.S.E. KUFANYWA APRIL 2021

Waziri wa elimu Profesa George Magoha atangaza mtihani wa darasa la nane na kidato cha nne kufanya mwezi wa April 2021 iwapo shule zitafunguliwa mwezi wa Septemba.Waziri aliyazungumza haya akiwa mjini Nakuru.

Waziri alisisitiza kuwa mipango yote ya maandalizi ya shule kufunguliwa yanafanyiwa kazi na wizara ya elimu na washika dau wote ikiwepo wizara ya afya.Miongoni mwa miundo msingi inayofanyiwa kazi ni;

Shule zitafunguliwa iwapo kamati mbali mbali za kutathmini uwezekano wa shule kufunguliwa na kuzingatia usalama wa wanafunzi shuleni wataafikiana.Juhudi zote zote za kuhakikisha shule zitafunguliwa zinaendelea .Waziri alitamatisha kwa kusema kuwa shule zitafunguliwa tu endapo hali ya usambaaji na maambukizi ya ugonjwa COVID 19 utadhibitiwa.

Share the story
Exit mobile version